Breaking News
recent

BREAKING NEWS: MOHAMED MATUMLA ANAFANYIWA UPASUAJI WA KICHWA MOI


Bondia Mohamed Matumla anafanyiwa upasuaji wa kichwa muda huu baada ya ngumi aliyopigwa kuleta madhara kwenye kichwa chake na damu imevujia huku hali yake ikiwa nzuri

Taarifa zilizotufikia ni kuwa Vipimo vya CT scan vimeonyesha kuvuja kwa damu na imejikusanya sehemu moja na madaktari wanahangaikia kunusuru maisha ya mwanamasumbwi huyo ambaye hali yake si nzuri.Operation ilichelewa kufanyika mapema kwa kuwa aliitajika kuongezewa damu tumefanikiwa kupata damu ameshaongezewa na akitoka chumba cha upasuaji ataongezewa damu nyingineWapenzi na wadau wa ngumi kwa muda huu tumuombee DUWA mwenzetu operation yake ifanikiweSADICK & CO LTD ipo na mgonjwa toka aliposhuka kwenye ulingo na kusimamia matibabu yake yoteTutaendelea kuwapa taarifa baada ya kutoka chumba cha upasuaji na hali yake itakavyokuwa inaendelea. 

Promota STONE

No comments:

Powered by Blogger.