Bondia
Mohamed Matumla anafanyiwa upasuaji wa kichwa muda huu baada ya ngumi
aliyopigwa kuleta madhara kwenye kichwa chake na damu imevujia huku hali
yake ikiwa nzuri
Taarifa
zilizotufikia ni kuwa Vipimo vya CT scan vimeonyesha kuvuja kwa damu na
imejikusanya sehemu moja na madaktari wanahangaikia kunusuru maisha ya
mwanamasumbwi huyo ambaye hali yake si nzuri.Operation ilichelewa
kufanyika mapema kwa kuwa aliitajika kuongezewa damu tumefanikiwa kupata
damu ameshaongezewa na akitoka chumba cha upasuaji ataongezewa damu
nyingineWapenzi na wadau wa ngumi kwa muda huu tumuombee DUWA mwenzetu
operation yake ifanikiweSADICK & CO LTD ipo na mgonjwa toka
aliposhuka kwenye ulingo na kusimamia matibabu yake yoteTutaendelea
kuwapa taarifa baada ya kutoka chumba cha upasuaji na hali yake
itakavyokuwa inaendelea.
Promota STONE
No comments: